
Movie mpya kutoka kampuni ya kuzalisha movie Tanzania, Kanumba The Great Films, "Devil Kingdom", imeingia sokoni jana Ijumaa na inaendelea kufanya vizuri. Mjaasiri aachi asili bana, sasa basi, kamata copy yako halisi fasta.

Katika movie hiyo Kanumba ameshirikiana na mkali mwingine wa movie kutoka nchini Nigeria, Ramsey Nouah.
No comments:
Post a Comment