Sunday, July 17, 2011

ULEVI NI NOOOOMA:

Katika hali isiyo ya kawaida, mama huyu kutoka Tarime mkoani mara, alikutana na mkazuzu huo wa kukatwa na panga kutoka kwa mumewe ambaye alikuwa amelewa pombe.
Hebu cheki panga lilivyopenya kwenye ngozi.
"Mume wangu akiwa mzima (Hajalewa) huwa hana matatizo kabisa lakini akishakunywa pombe tu matatizo ndiyo huanza, amenikata kwa panga bila ya sababu yoyote kisa tu amelewa pombe".  Alisema mama huyo pichani. Habari zaidi Bonyeza Ramso ICT.

Note: To post a comment:
Click 'comment',write your comment in the comment pad,THEN (Select Anonymous profile to hide your name OR Name/URL profile to disclose your name ie Name: (Write your name) and URL: (This is optional)) THEN Click 'Post comment',type the word shown for verification THEN Click 'Post comment'.

No comments:

Post a Comment