KIFO NOMA.....Jambazi lilivamia familia 1 na kutaka kuwaua,kabla halijatimiza azma hiyo likataka kujuwa majina yao; JAMBAZI: Wee mwanamke unaitwa nani? MWANAMKE: Naitwa MARIAMJAMBAZI: Wewe umesalimika kwasababu una jina kama la mama yangu. JAMBAZI: Eeenhe we mwanaume unaitwa nani? MWANAUME: Naitwa SAID ila kazin wananiita MARIAM............
No comments:
Post a Comment