Pages

Saturday, October 1, 2011

M-LAB RECORDS KUADHIMISHA MIAKA MITATU TANGU KUANZISHWA KWAKE:

Pichani ni baadhi ya wanachama wa M-Lab Records ambapo pamoja na wengine leo hii wanatarajia kuadhimisha miaka mitatu ya kuanzishwa kwa 'Music Lable' hiyo. Sherehe itafanyika Mbalamwezi Beach Club na zitaambatana na uzinduzi wa tovuti yao; http://www.mlabrecords.com/, mahala ambapo mashabiki na wapenzi wa 'maabara' hiyo ya muziki watapata kufahamu mengi kuhusiana na kazi zifanyikazo hapo, Music, Videos, mahojiano na mambo kadha wa kadha yahusuyo wasanii wao. So Guys, kama vipi tukawape 'tafu' washikaji pande zile za Mbalamwezi.

No comments:

Post a Comment