Saturday, August 6, 2011

BONGO MOVIE CLUB NA TWANGA PEPETA WALIVYOSHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURU NDANI YA MJI WA MOSHI (MO TOWN)


Kundi zima la Twanga pepeta jukwaani.


Bongo Movie club walipokaribishwa jukwaani to prove the excess of what they always get to show.

Mtunza fedha wa club hiyo (Richie) akiwatambulisha wenzake.

Mtunza fedha msaidizi, Ray the greatest, kama anavyojiita mwenyewe, akisalimiana na mashabiki wake.

Komedian wa club hiyo, Steve Nyerere, kama kawa mzigoni.

Baadae likafuata soka la magoli madogo kati ya Maveterani na Bongo Movie club FC.

Goooooo..laa laa laa..!!! Kumbe mpira bado upo katikati pale wasikilizaji na watazamaji.
 
Full burudani.
Ni half time, mawaidha ya hapa na pale.

No comments:

Post a Comment